Recent content by mzee mwala

  1. M

    JamiiForums Natafuta kazi, nina elimu ya shahada ya bima na uzoefu wa miaka miwili

    Habarini wanabodi, Awali ya yote ningependa kujitambulisha kama member mpya ndani ya familia hii Nikiwa kijana mwenye umri wa miaka 20s, na elimu ya kiwango cha degree in Insurance And Risk Management, niliyoipata chuo cha usimamizi wa fedha (IFM). Natafuta kazi iwe temporary ama permanent...
Back
Top Bottom