Recent content by Mzee Kijana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

    Ni aibu kwa timu kama Yanga kujisifu eti wana medali ya shirikisho ya CAF.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya waamuzi inayoongozwa na Hamdun Nassor ivunjwe-wanasheria

    Yote haya kayataka GSM kudhamini timu saba na kutoa motisha kwa timu zinazocheza na Simba ili zikamie mechi matokeo yake wanacheza rafu kwenye boksi marefa wakifunika Utopolo wanakuja kulalamika JF.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar Yanga wanajisevia nini vyumbani? Sababu hakuna Camera Uwanjani.

    Yanga walikuwa ni wenyeji wa ile mechi. Kwahiyo, mechi inayofuata Azam ni wenyeji na itapigwa Chamazi. Kipigo kipo palepale.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Simba kuwa derby haitakuwa na red card na penalties za kubebwa

    Wewe jamaa ni bonge la pimbi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Azam media na NBC amkeni kwenye usingizi. TFF, bodi ya ligi na kamati ya waamuzi inawaharibia biashara

    Wewe jamaa kichwani chenga tupu. Utopolo wahedi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya uonevu kwa timu ndogo za nbc ni kususia kuendelea na michezo iliyosalia

    Wewe jamaa kichwani chenga tupu. Utopolo wahedi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Refa wa mechi ya Simba na Yanga ya Machi 8, 2025 ajipange, sisi Yanga hauwezi kuvulimilia huu ujinga unaoendelea

    Wewe jamaa chenga tupu kichwani. Utopolo wahedi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

    Mmekuwa watabiri siku hizi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

    Hapa kwa Mkapa mtapata sare mkijitahidi. Kule Mauritania kwa Al Hilal mtapasuka vibaya.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

    Hakuna hata mechi moja kati ya zilizosalia ambazo Utopolo watashinda. MC Alger siyo timu ya kitoto. Uzoefu ni kwamba wana uwezo wa kufunga hata ugenini. Sasa kwa mabeki wale wachovu akina Bacca mjiandae kisaikolojia mkipanda zinapigwa counters imooo. Kwa Al Hilal ndio msahau kabisa. Ibenge kama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rais Magufuli mkiliachia hili jambo lipite bila ya kumburuza mahakamani Kabendera itakuwa ni usaliti wa karne!

    Mkuu mbona ni rahisi sana kuelewa kuwa Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake alikuwa ni kiongozi mkubwa tu wa dola. Alipohamia Madina mwaka 622 AD Muhammad alianzisha dola ya kwanza ya Kiislam yeye akiwa kiongozi wa kidini na kisiasa. Kutokana na uongozi wake uliotukuka aliweza kuiteka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Sultani wa Mwisho Zanzibar, Sultan Sayyid Jamshid Al Said, Afariki Usiku Huu, Omani

    Can you mention those barbaric and uncouth acts he carried out or you are just following propaganda?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipangaje kidiplomasia kumruhusu mhubiri dini mtata anayesakwa na India kutua nchini?

    Reynhard Bonke alikuwa anakuja nchini mara kwa mara kufanya mihadhara kuthibitisha kuwa Ukristo ndiyo dini sahihi kuliko dini zote na Yesu ndiyo njia na uzima. Katika miaka yote hiyo hatukuwahi kusikia Waislam wakiitaka Serikali imzuie. Huu muhadhara ni wa kawaida kama ile ya akina Mazinge...
Back
Top Bottom