Miaka ya zamani sana niliamini vikundi kama Boko haram, Al shabab, au M23 nk ni vikundi vya kigaidi, kumbe siyo vikundi vya kugaidi, wale ni wapigania uhuru katika nchi zao, ni wananchi ambao waliamua kusimama dhidi ya mifumo mibovu katika nchi yao.
Kama CCM wakitaka vikundi kama hivyo...
Hii nchi inaongozwa na viongozi wajinga sana, fikiria mtu kama mwaipopo anawezeshwa kuja kutisha watu waungwana, wenye uelewa na ufahamu mkubwa wa mambo. Naungana na wewe, mwaipopo ni mpumbavu na wanaomtuma ni wapumbavu na ni wajinga wakubwa.
Hawa viongozi kama wangekuwa na akiri basi kuanzia leo wangeacha kusikiliza maelekezo ya wanasiasa wakazingatia sheria,
Katika sakata la kesi ya Lissu, mahakama imewatoa wana siasa wotee, wamebaki wakuu wa vyombo wakajitetea wenyewe, wakaseme nini kilitokea oct 29, na kuna nini kwenye kesi ya...
Watanganyika walioko mamlakani wamejaa ujinga sana. Hawaelewi kama zanzibar ni nchi kamili, lakini watanganyika wamekomaa kumshabikia Samia na maujinga yake
Makanisa ya kilokole ni makanisa ambayo yanalenga fedha ndiyo maana makanisa yao yanamilikiwa na watu na siyo Taasisi. na ndiyo maana huwezi kusikia mchangaji au Askofu amehamishwa. Walokole wameharibu sana ukristo.
Mama yenu alitwambia waandamanaji walilipwa fedha ili waandamane, ni nani aliwalipa?? na ni nani alitoa order to kill?? na je uchaguzi ulifanyikaau haukufanyika?? kama ulifanyika maanake uchaguzi haukuzuiwa. na kama haukufanyika kwa sababu ya kauli ya Lissu je kura 32M alizopata mama yenu...
Magufuli alikuwa jeuri kuliko hata hicho kimama kizanzibar kifupi chenye mguu mmoja mrefu na mwingine mfupi lakini leo Magufuli yuko wapi?? nina kuhakikisha Samia atakufa na atamuacha Lissu anapumua.
Kuna mtu bungeni alikuwa jeuri kama Ndugai?? au Tulia, ?? leo wako wapi??
Unamfahamu Omary...
Ni bahati mbaya sana Siasa za upinzani ziliongozwa na huyu mtu kutoka Kaskazini, hawa watu kwao fedha ni muhimu sana kuliko chochote. Fikiria mwaka 2010 au 2015 kama kiongozi wa upinzani angekuwa Kiongozi shupavu, asiyenunulika na angetokea ile kanda iliyo na wapiga kura wengi, Je ccm ingepona??
Sisi watanganyika ni wajinga sana, inawezekana vipi tunaumizana kwa manufaa ya Mzanzibari Samia na genge lake?? Huyu kiumbe hajui hata anafanya nini kwenye hicho kiti, imeshathibitika kuwa uwezo wake ni mdogo sana.
Nina uhakika hata hajui nchi inataka nini, au eneo fulani au wilaya fulani au...
Huyu mtu hakusitahili kuiongoza chadema, bila shaka hana sifa ya kuwa mpinzani wa kweli, asanteni sana wajumbe wa baraza kuu kwa kumpumzisha huyu siasa huyu mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.