Wakuu samahani,
Kuna father mmoja nina kaundugu nae, amewai kuwa mtumishi wa serikali sekta ya usalama wa raia na mali zao.
Sasa juzi amepata msiba, nikampigia simu kumpa pole, cha ajabu ananiambia ukinipa 10k kama kahela kakunitoa machozi itakuwa powa.
Nikasema sawa nikipata ntakupa, nakaa...