Hivyo mnavyosema si kweli so mnataka kazi ya mtu iendeshwe kizembe hapana hilo nabisha kabisha fungueni duka lenu afu muone,....unajua kitu kimoja watanzania tulichokua nacho ni chuki huwezi ukafanya kazi ya mtu kizembe na wala mmilikia wa s.h.amon hagombani na mtu yeye anachotaka kazi ifanyike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.