mkuu wa kaya baada ya kukicost chama kwa kukaa kimya na mijambazi yake kina ngeleja,luhanjo,uttoh,ekelege,mtasiwa,nyoni na mafisadi wengine ambao bado hawajahukumiwa mpk leo pamoja na mitume kibao iliyoundwa na bunge na kutoa mapendekezo ya hukumu dhidi yao,sasa naamini wanatafuta mchawi lkn kwa...