Mapokezi yalianzia Uwanja wa Ndege wa Karume, mkoa wa Kusini Pemba na kupita barabara kuu kuelekea viwanja vya Tibirinzi akiwa katika gari la wazi, akisindikizwa na umati wa watu wenye sare za CCM na wengine wakipunga kando ya barabara.
Katika viwanja vya Tibirinzi, Chakechake, Kusini Pemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.