Recent content by Mzani

  1. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Mpiji vinauzwa

    Bado vipo
  2. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyopimwa Mpiji vinauzwa

    Salaam wanajamii, Nina viwanja vilivyo pimwa vimebaki vinne, vipo Dar es Salaam mpiji kilomita za makadirio kama 8 hivi kutoka mbezi luise. Bei ya kiwanja ni kuanzi Tsh 18M cha ukubwa wa 1049 sqm kiwanja no. 5 Wasifa wa eneo: Kuna umeme/ nguzo pembezoni mwa viwanja, Viwanja vipo bara bara...
  3. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Viwanja bado vipo, Wekeza kwenye ardhi. Idadi ya watu inazidi kuongezeka kila kukicha Na ardhi nayo haiongezeka ila inapanda thamani. Nunua kiwanja kilicho pimwa kabla havijapanda thamani. Karibu
  4. Mzani

    JamiiForums Tanzania Why human being are said to be inteligent than other organism? (Give out 3 points)

    We are the most powerful creatures because of the one and only reason, and that is "we are the master mind of our own lives" You can do, be or have anything through thought and feeling. There is the Saying of the wise "YOU ARE WHAT YOU THINKING" What is happening in our daily lives is the...
  5. Mzani

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kilichopimwa sqm 1049 kinauzwa dar es salaam

    Halo Wanajamii Nina kiwanja kipo mpigii/msakuzi karibu na shule ya bethaida/karibu na kituo kinachoitwa Mahakama Mtaa wa mpigi, kata ya mbezi Sifa za kiwanja ni: Kimepimwa na kina ofa Ukubwa ni sqm 1049 Ni kiwanja cha 4 kutoka bara bara kuu ya mpigi magoe (mita 80 kutoka high way) Kuna...
  6. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Viwanja bado vipo. Karibuni
  7. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Du aise, tunashukuru Hiyo ni changamoto ya maendeleo, mtwara watu wanajenga kwa kasi na miundombinu iliyopo haikidhi kulingana na ukuaji wa mji. Hili suala litatatuliwa kwa sehemu ya mitaa, ila maeneo mengine ni issue, viwanja vya mjimwema pia ni sehemu ya suluhisho Karibu sana
  8. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Ndugu Chaza Nashukuru kwa unayoyasema na ni kweli. Kuhusu kilimahewa, binafsi sina plot maeneo yale, ila wapo watu wanaouza kutokana na sababu zao binafsi. Kwa ujumla plots zipo, ila bei ndio ipo juu. Karibu mdau
  9. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Ninaweza kupokea pesa kwa installments katika mazingira ya kukubaliana, kwa sababu, mtu akinunua kiwanja leo inabidi kesho nikafuatiliie hati ambayo itakua kwa jina lake kulingana na mkataba tuliosaini, na mchakato wa hati una gharama zake. Changamoto inakuja pale ambapo hati imeshatoka na...
  10. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Safari imeshaanza ni kuthubutu tu Bara bara zimeshachongwa,Watu wameanza kusogeza mchanga/matofali nk Karibu sana
  11. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Utajaaliwa utapata pesa, yote yanawezekana. Karibu
  12. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Kwa ujumla naweza kusema kwamba kutoka center ya mtwara ambayo nafikiri ni maeneo ya bima mpaka mjimwema kadirio la chini ni km 15, kadirio la juu ni km 17/18, ninasema hivyo kutokana na bara bara utakayopita kutokea mikindani, na eneo la mjimwema ni kubwa sana na tambalale lote. Kuna njia...
  13. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Sawa Tukianzia round about ya mnarani kabla ujaingia hiyo bara bara ya tanu unayoisema ambayo inaelekea bima hadi parishkanisani. Kuanzia hapo round about unaelekea mikindani (mji mkongwe) njia yakwenda lindi,. kutoka round about mpaka mikindani ni kilometa 10, kutoka .mikindani unaancha bara...
  14. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Ndugu Mimi sina eneo pale msangamkuu, ila kuna watu wanamaeneo yao, wengine wanauza vipande visivyo pima. Mimi nina viwanja eneo la mjimwema tu na ni viwanja vilivyo pimwa Karibu
  15. Mzani

    JamiiForums Tanzania Viwanja vilivyo pimwa vinauzwa Mtwara mjini

    Viwanja bado vipo Kwa wale ambao hawapajui vizuri mjimwema ni eneo jipya na ndio linaanza kuendelezwa, kuna eneo la chuo cha TIA ambapo awamu ya kwanza wameshajenga lecture hall, kuna eneo la chuo cha SAUTI (Kwa sasa jina limebadilishwa kwa huku mtwara) halijaendelezwa, kuna eneo la AICC...
Back
Top Bottom