Recent content by mzamifu

  1. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Kama Gwajima na Polepole wana hoja, wajitoe CCM

    Kama wameasi wafukuzwe
  2. mzamifu

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Matokeo uchaguzi wa s/mitaa 2024 yalitangazwa mapema/haraka sana. Idadi ya uwapiga kura imesemwa ni milioni 37 waliojiandikisha, ni mifimo gani inatumoka na je, huu ni uhalisia?
  3. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

    Majambo sio moja labda hilo moja ndo maliza kazi
  4. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    Wewe umemsikiliza ndo maana unasema haya. Acha na sisi tumsikikilize tupate cha kusema maana akili tunazo ati!
  5. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    Tusipowasikiliza wote tutapimaje na kuamua?
  6. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Kama taifa linawategemea hawa, basi tusahau kabisa maendeleo halisi

    Commedy
  7. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Benson Kigaila kurejea Chadema na ataomba msamaha kwa Umma

    Ngoma inapigwa, Mishale ni kila upande, ushindi utakuja nao watashiriki
  8. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Huu msitu unaoitwa Hamphrey Polepole ni mzito ,una wanyama wakali mno. CCM msiuchukulie poa na msiudharau! Una Kila aina ya wanyama na wadudu!!

    Polepole ni sauti ya mtu aliaye nyikani... wanaopuuza wako usingizini ila wajue kwamba wasio na sauti ni wengi na wanaunga mkono hoja.. nimeona hii na interior hawa walikuwa upande wa mwenda.. na sio wa mja tusubiri! umasaini
  9. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa bandari kavu ya Kwala ni kama kumsumbua Rais, kama unabisha tazama picha ya bandari kavu yenyewe ilivyo

    Nijuavyo uzinduzi na ufunguzi ni vitu tofauti, labda nakosea. Ila kwa sasa kila cha sikio la kufa kinalenga kitu
  10. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

    Huku siju kuchanganyikiwa, au ni hofu kama alivosema Mbatia
  11. mzamifu

    JamiiForums Tanzania Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

    LIssu hoja kudhaa kuthibitisha hoja kuu no reforms, no election hizo ndizo zinatakiwa zaidi kuhojiwa sasa mambo kama mama ana huruma nk. yanajibuje hizo hoja? Hoja ka kuengua wagombea wa upinzani unaihusisha vipi na huruma, hisani?
  12. mzamifu

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kukataliwa kwa nguvu zote

    Under which grounds? Na, je, so kweli kwamba ccm imekanwa, ni dhahiri dhahiri kwamba ccm wengi tu wameikana, wamejikana
  13. mzamifu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anguko la CCM linazidi kuonekana chini ya utawala wa Awamu ya 6

    Ilishaanguka sababu ni asilmia ndogo Sana yas watanzania wanaiunga mkono hats Kama hao ndio wanaoifanya ishinde
Back
Top Bottom