Recent content by mzamiaji og

  1. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mwanza Ukerewe nije Dodoma wilaya yoyote Idara secondary science
  2. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ukipata Mwl wa secondary anataka kuja mwanza nije singida niashtue
  3. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mwanza ukerewe nije Dodoma wilaya yoyote. Masomo math and IT
  4. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Ukerewe iwe rahisi kuingia mwanza mjini badae ummy akilegeza mm nije Dodoma wilaya yoyote Masomo Mathematics
  5. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njo mwanza ukerewe nije Dodoma wilaya yoyote. Masomo mathematics/IT
  6. M

    Nataka kusoma kozi ya health system management

    Kama umesoma pcm,egm au pcb Kasome IT utakuja nishukuru badae Kila kazi tunakoenda itachukuliwa na watu wa IT
  7. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ungekuwa Dodoma tungebadilishana mm nipo mwanza nafundisha Mathe na IT
  8. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ewe Mwl acha kuteseka na njaa na kukonda njoo Mwanza (ukerewe) ule samaki unenepe na mimi nije Dodoma wilaya yoyote .somo (Mathematics na ICT)
  9. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mambo ya huyo Mwl kupata kibali au kutopata kibali hayakuhusu wewe fuatilia kibali chako ivi kwanini walimj hadi my PS wanatutisha. Wewe fuatilia kibali chako na usicheke na MTU elimu yako ni halali na uhamisho ni haki yako sio msaaada
  10. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mwanza (Ukerewe) nije Dodoma wilaya yoyote somo mathematics
Back
Top Bottom