Recent content by Mzamiaji mweusi

  1. Mzamiaji mweusi

    HAMAS attacks was Properly Calculated , Pray for UKRAINE

    Kipengere xn,,, kama hauwezi kupambana nao, unagana nao
  2. Mzamiaji mweusi

    Kilichonifanya niachane na forex ni hiki hapa

    Kweli mzebaba,,, wanaosema Forex ni mchezo huwa mm nawaondokea taratibu najua hatutaerewana na hata nierewa nkimweleza zaid ataanza kufosi nikubariane nae forex ni mchezo km betting,,, !!! Good mwambie akalale akue kwanza
  3. Mzamiaji mweusi

    Msaada: Namna ya ku-withdraw pesa kutoka kwa broker kwa njia rahisi kwenye biashara ya Forex

    Boss mzito wa forex , the way uliyotumia deposit to Broker ndio way hiyo hiyo utakayo tumia withdrawal..... Simple answer no more questions......!!!! Everything is up to U , good luck 👍
  4. Mzamiaji mweusi

    Sema Neno kuhusu "Biashara ya FOREX"

    Km niivo Bro watu wasitumie plan B ,,bhc Leo Tanzania tungekuwa tunaunda ngege tezu, magar, simu pia tungeunda pi mpk mashine za kushonea nguo ingefaa sana kuund sisi wenyewe isingekua na maana tuende china kubuy basic need,, km ni muhimu kuwa socialism bhn Ata wa signal pia anahaki kuwa...
  5. Mzamiaji mweusi

    Forex Trade imeniumiza

    Mashoga hamuishiwi chokochoko,,, we nenda betting tu huku sio saiz yk
  6. Mzamiaji mweusi

    Forex Trade imeniumiza

    Bro apa ni kukaza TU mpk kiereweke..... !!!
  7. Mzamiaji mweusi

    Forex Trade imeniumiza

    Real account na Demo account it's The same Sir,, matukio ya Demo na real it's the same ixpokua real ni pesa yako utaitumia kupiga pips na demo ata ukipg pips xio zk ni kuikuza knowledge ili ukianza real ujue nn kitakutokea uki gusa ile batan ya buy or sell 🤣😂😂 ..... !!!
  8. Mzamiaji mweusi

    Forex Trade imeniumiza

    Nilianza $ 100 one year's ago I using risk management Sir,, me nakimbiza Xauusd na Btc only mzemkav,, currency nliona znanpimia kuniingiza box xn so nliamua kutumia formula za riverpool ile ya 4, 4 2 🤣😂😂 ( jks )
  9. Mzamiaji mweusi

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    Ata life ya dunia hii ni betting tu,, inshort anything is gumbling., So tunajitahid tuine game gn it's support harakat za kila siku..... Ivo yn
  10. Mzamiaji mweusi

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    Hhhhh 🤣😂😂tukokae kk forex tumeretewa tu
  11. Mzamiaji mweusi

    Forex Trade imeniumiza

    Kwani shida iko wp C.E.O Mr Mojicho,,, ukiona trade imeenda your position uitakayo unasogeza S.L main object Capital ixiguswe na Red ♦️ card
  12. Mzamiaji mweusi

    Forex Trade imeniumiza

    Husjar kk ata me nmepigwa xn K.O na cap ndio mindset imeanza kukaa sawa, sasa ninaweza kujifAnyia account management and risk reward to grow my account.....!!! Vumilia Mr Mijicho xku ukipita ha Harrier New Model wasianze shangaa , ukiwambia Forex nao wataingia mzm uko Ndio sekeseke la kupigwa...
  13. Mzamiaji mweusi

    Forex Trade imeniumiza

    Ulisoma kipengere cha psychology of trading and risk management kule babypips.com au investopedia.com ?? Demo ulifanya Demo account Kwa kipind cha muda Gani na Broker tofaut tofaut ?? Miaka mingapi imejatika tangu uanze kujichimbia kujua The secret in side of foreign exchange ? Unawajua market...
  14. Mzamiaji mweusi

    Forex ni scam au real?

    Kuna msemo unasema hivi,,, Anguka nyanyuka, anguka nyanyuka kunasiku utanyanyuka Moja Kwa Moja,,,, kun baadhi ya watu kipengere cha kuanguka kwenye biashara biashara hawataki hapo ndipo sekeseke linapoanza kuwa forex trading is betting km betting zingine, hawataki kujifunza kwa walio fanikiwa...
  15. Mzamiaji mweusi

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    Wanaoswma forex ni batting waendere kubisha mzemkav.... Sisi tuaenderea kujilipa tukiwa home tuna check uefa kwa utulivu.....!!
Back
Top Bottom