Sio ushauri kwa dada tu hata kwa wale ambao wanatarajia kupata watoto hauwezi kumpenda mtoto kwa hali ya juu hata kama una kipato kiasi gani kimtazamo hapa huyu dada alianza kumzoesha mwanae hela nyingi za matumizi tupunguze haya matatizo yapo mengi sana
Middo lulyheart kimtazamo wa haraka jawabu umepata kua wengi wamepitia njia hiyo ya simu coz kila mtu kaonesha ujuzi wake wa kugugumia na hakuna ambae katoa maelezo hajawahi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.