Recent content by Mzalendotz20

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Ww ndio utakua mwendawazimu, Kumbuka tumeongeza balozi 8 ndani ya kipnd cha miaka 5
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Ss kam kila tukio Raisi aende nje mabalozi itakua kazi yao nn? Mbona hao maraisi wa Ulaya hatuwaoni kuzurura zurura ovyo? Nyinyi mnanongwa tu na visokolokwinyo, Mhe JK alivokua anasafr safr mkasema raisi gan kila cku safar, JPM hatoki toki mnalalamka tena, eeh, nyie watu wavip!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Hivi ww unamacho kweli! Hata kam unajitoa faham lkn cio kwa kiasi hcho, Inamana hata SADC na Museven juzi umesahau!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Upepo wa lissu haupeperushi hata usufi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Unajitekenya alf unacheka mwenyewe!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Magufuli katika Diplomasia na Uhusiano wa Kimataifa

    Hakika umefanua vzr sana, na mwenye ufahamu atafahamu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Maalim Seif kam anakubalika Unguja mbona kashindwa kujaza kibanda maiti?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Ww unabishia uzoefu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Unapoongea hebu ongea kwa facts, hayo sijui mapokezi, sijui maafa ungetuletea picha kidoogo tungekuelewa. Seif kashindwa kujaza kibanda maiti tu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Sanaa, Yaan watu washamchoka Maalim Seif, kila siku yeye tu!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

    Hakika kwa umati uliojitokeza Pemba ilikua ni bonge la surprise, sikuamini kama watu wangejitokeza kiasi kile, Hii inaonesha wazi ni jinsi gani Mwinyi amekubalika.🤝🤝
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    Nenda mwenyewe ukaangalie Ucje kusema unadanganywa
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    Safi sana, Hatupoi hatuboi ✊✊
Back
Top Bottom