Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote!
Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
Wakuu habari zenu.
Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu
Betri ni moyo wa gari lako – bila betri yenye nguvu, gari halitaweza kuwaka wala kuendesha mfumo wake wa umeme. Kutunza betri vizuri ni muhimu sana ili iweze kudumu muda mrefu na kuepuka matatizo yasiyotegemewa barabarani.
1. Angalia...
Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi.
Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Hatujawah pokea changamoto wala malalamiko yoyote juu ya huduma zetu labda kama una personal issues. Na kama umeshawahi fanyiwa makosa unaweza wasiliana kwa simu namba 0715666656 na ukaprovide evedience kwa changamoto ya huduma zetu
Utaratibu wa ofisini kwetu huwa tunatengeneza Invoice kisha mteja anaamua mwenyewe kukubali au kukataa kabla ya kufanywa kwa service na hatuwezi fanya service bila makubaliano wala kuongeza gharama bila makubaliano.
Pia katika ofisi yetu hamna wadada kuna mdada mmoja tuu, ningependa kujua ofisi...
Nimekuwa nikikutana na madereva na wamiliki wa magari wanaotofautiana sana kwenye maelezo ya "Full Service ya gari." Fundi mmoja ananiambia ni kubadilisha oil tu, mwingine anasisitiza plugs, filters, brakes na mengine mengi ya ndani. Sasa swali langu kwa wataalamu na wenye uzoefu:
🔧 Full Service...
Vyanzo vya Ubovu wa Magari Tanzania na Suluhisho
Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la magari barabarani nchini Tanzania. Hili ni jambo linaloashiria maendeleo, lakini pia limeambatana na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa ni ubovu wa magari. Watu wengi wanapambana na magari...
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Free Car...
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Free Car...
TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services
Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Free Car...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.