Recent content by MZALENDO_2021

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

    Rangi ya mtu na uraia wake vina uhusiano gani? Acha akili za kindezi....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kondomu za BULL zinapasuka, ni hatari

    Sina imani nazo tena... bei sio kigezo, Salama ni jero lakini ziko vizuri...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kondomu za BULL zinapasuka, ni hatari

    Buku
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kondomu za BULL zinapasuka, ni hatari

    Imeshanitokea si chini ya mara TATU, wakati ukiendelea na tendo kondomu za Bull ZINAPASUKA. Mungu bariki hapakuwepo maambukizi. TBS chukueni hatua, mnaangamiza maisha ya watu....!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Natafuta makato cha kushangaza ukiingia kweye website yao (Welcome : Home) mpaka leo hawaja'update tariff za mpesa, mnaficha nini? mbona mmelala kiasi hiki????
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi anapotoka Serikali Kuu na kuhamia Taasisi ya Umma, je anaendelea na cheo chake cha ajira?

    Maelezo kama yapi? na umetumia kigezo kipi ku'equit SA (10yrs experience) kuwa sawa na SA-II ya 6yr experience?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi anapotoka Serikali Kuu na kuhamia Taasisi ya Umma, je anaendelea na cheo chake cha ajira?

    kilikuja na meli ndg yng.....thx for correction.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi anapotoka Serikali Kuu na kuhamia Taasisi ya Umma, je anaendelea na cheo chake cha ajira?

    kilikuja na meli ndg yng.....thx for correction.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi anapotoka Serikali Kuu na kuhamia Taasisi ya Umma, je anaendelea na cheo chake cha ajira?

    Hivi karibuni kuna mtumishi kahama kutoka Serikali Kuu kwa cheo cha mhasibu mwandamizi (Senior accountant-SA) akiwa ametumikia miaka 10 kwenye utumishi wa umma, baada ya miaka mitatu alikuwa anapanda kuwa Mhasibu Mkuu (Principal Accountant). je ni kanuni gani ya utumishi inatoa mwongozo wa kule...
Back
Top Bottom