Recent content by mzalendo moyoni

  1. mzalendo moyoni

    Hujuma stendi ya Mabasi ya Nyegezi ( Mwanza)

    Serikali imewekeza Fedha nyingi saana ambazo ni kodi zetu sisi walala hoi kwenye ujenzi wa Stand hii ya Nyegezi lakini leo nimesikitika kukuta chooni hakuna maji na ni kwazaidi ya miezi Sita(6). Mkandarasi anayetoa huduma amejibu kwa wepesi tuu kwamba amewapigia simu watu wa mamlaka na...
Back
Top Bottom