Recent content by Mzalendo Kweli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

    Ndugu yangu mdomo uliponza kichwa. na sheria hii ya mitandao, hala hala usije ukasababisha jukwaa letu maarufu likapata msukosuko bure kwamba linachochea vurugu. Tusubiri tusikie amekamatwa kwa kosa gani. yeye ni binadamu, anaweza hata akawa anadaiana na jirani yake.
Back
Top Bottom