Habari zenu kaka zangu,
Nimesaidiwa mtaji wa biashara wa 5 millions. Na nimefikiria kuitia ktk biashara ya cement. Wakuuu naomba ushauri wenu.
Vp hii biashara ya cement munaionaje upande wa faida na hasara zake. Location nzuri ipo. Naomba kujua ni cement ipi nzuri kibiashara yaani yenye...
Mm ndugu yangu nakupa ushauti naamini mzuri kuliko yoooote uliipata.
Kama bado pesa unayo benk nakushauri 1.maliza mwezi Acha jazi ya kuajiriwa.
2. Tafuta mradi m1 kati ya bidaboda au bajaji au kicary usimamie mwenyewe. Huo usafiri ununue mwenyewe kwa pesa zako hizo.
3. Naamini pesa zitabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.