Kwa kweli hali inasikitisha sana.
Nakumbuka Rais Samia, baada ya kifo Cha Ali Kibao, ali-post Kwenye ukurasa wake wa Twitter, kuwa amesikitishwa mno na kifo Cha Ali Kibao, hatataka matukio ya aina hiyo yajitokeze nchini kwetu, Kwa kuwa nchi hii ni ya kidemokrasia na Kila mtu ana HAKI ya KUISHI...