Recent content by mysterious user

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Asanteni sanaa wakubwa kwa kushare this great idea with us...me ni kijana mdogo ambae nnavutiwa sana na hii business though sijaanza kuifanya bado, nlikua nauliza kwa mtaji wa 500k mpk 700k unaruhusu kuanza na samaki kama wangapi ivi sato?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    bos hujalazimishwa kupita ktk uzi huu so ukiona huupend jikatae kimya kimya
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hakuna game za uhakika kaka...lazma tuh kuna siku big teams zinateleza, even last weekend real madrid amepoteza dhidi ya girona in front of home crowd..
Back
Top Bottom