Recent content by myroom320

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Show yako ya kijanja Star TV kila Jumamosi saa saba na marudio Jumatano saa tisa na nusu

    Kuna topic kibao za mahusiano, ni kweli mahusino yamekuwa na changamoto nyingi sana katika maisha yetu. kila mtu analalamika na la kwake. Mwingine atakwambia simuamini msichana hata kidogo. Lakini mwingine atakwambia simuamini mwanaume hata siku moja. Mwingine atakwambia hakuna mapenzi ya...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HUSIKOSE KUTAZAMA GIRLS TALK SHOW ON STAR TV kila jmosi saa 13:00 hrs na kurudiwa j5 at 15:30 mchana

    follow follow follow instagram girltalktz
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HUSIKOSE KUTAZAMA GIRLS TALK SHOW ON STAR TV kila jmosi saa 13:00 hrs na kurudiwa j5 at 15:30 mchana

    Follow follow follow, instagram girltalktz
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HUSIKOSE KUTAZAMA GIRLS TALK SHOW ON STAR TV kila jmosi saa 13:00 hrs na kurudiwa j5 at 15:30 mchana

    jmos saa saba mchana na krudiwa j5 saa tisa na nusu mchana
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HUSIKOSE KUTAZAMA GIRLS TALK SHOW ON STAR TV kila jmosi saa 13:00 hrs na kurudiwa j5 at 15:30 mchana

    sikuzote tunatamani kujua huyu msichana anawaza nini kuhusiana na huyu mwanaume, ambaye amekuwa akiongelewa mengi , ni heart breaker, hasiyejali, hasiyetunza familia, hanayetelekeza watoto, mwenye roho ya kikatili, mwenye msimamo mkali. anyway sio mimi ninayesema ila watu husema tunataka kujua...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni hatari kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ni mkatili

    inauma sana sikuzote ila unapochukua maamuzi kama hayo unaondokana na kuwa mtumwa wa mapenzi na kuumia sikuzote.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuchunguze sana wanaotuoa, dada mmoja yamkuta

    Ni kweli yametokea na mimi nikiwa shahidi kwa msichana ambaye aliingia kimapenzi na mwanaume mstaarabu na heshima zake na yote hiyo kwasababu alitokea majuu. Juhudi zote za wazazi na ndugu wa karibu kumshauri hazikufua dafu, dada ndiyo huyo alikuwa ameishakanganyikiwa na anachotaka ni ndoa tu...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni hatari kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ni mkatili

    tunatafuta kusolve tatizo
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni hatari kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ni mkatili

    hahaha huo ni ukweli mtupu, unapoongea kila kitu kwa uwazi utaweza kuona kama ni kwa hasira, ila hili limewakuta wengi sana na kuonekana ni la kawaida. hila lisikie tu husikutane na mtu wa aina hiyo.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni hatari kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ni mkatili

    haya huwa yanatokea sana katika mahusiano sana sana upande mmoja huwa na ubinafsi kuliko mwingine
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni hatari kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ni mkatili

    Ni hatari kuwa katika mahusiano na mtu ambaye ni mkatili, mtu hasiyeshawishika, kitu chochote anachosema yeye hakina mjadala!Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa kwenye mahusiano yenye hatari! Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa kwenye mahusiano yasiyokuwa na uaminifu! Wapenzi, ni bora kuwa peke...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, kama uliwahi kutendwa, usifikiri wanawake wote wako hivyo

    pole sana inaonekana umekuwa ukikutana na wanawake ambao ni majanga
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, kama uliwahi kutendwa, usifikiri wanawake wote wako hivyo

    penda unapopendwa, ina maana ukiona hakuna muelekeo hama kabla hujaumizwa, si ndio????
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe uko sawa?

    Hujawahi kufikiria na hutaweza kuamini, lakini ukweli ndio huu. Wewe unaweza kuwa sababu kubwa sana ya mpenzi wako kuonekana ana kasoro kibao,hawezi kuwa mpenzi sahihi kwako henda ni kwasababu ya umakini ulionao na tabia yako kwake ambayo inasababisha kuzalisha ubaya kutoka kwake yani kuonekana...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, kama uliwahi kutendwa, usifikiri wanawake wote wako hivyo

    hivi unafikiri hili linaweza kurekebishwa? kivipi?
Back
Top Bottom