Recent content by Myra-N

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukiamua kumuacha umaanishe!!!!

    Dah! Imenigusa mimi,siwezagi kuacha,ila nkiachwa inumaa mwisho nazowa and move on!
  2. M

    JamiiForums Tanzania kuonga ni hulka ya vibabu. Vijana hatuhongi ng'o!...

    yaani we mwanaume unaonekana ni msuku mpaka basi.....yaani ni hiyo elf80 tu uloombwa ndobinakutoa jasho hiyvo nakuanzisha thread kibao! kweli siku hizi hamna wanaume! afadhali niliolewa zangu mapeema!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hello

    Habari zenu jamii forum members! mi ni mgeni naomba mnipokee jamani,nimekua nikisoma sana kama guest saivi nimeamua kuwa member ili nienjoy zaidi.....
Back
Top Bottom