Huenda hao walimu hawana kazi za kufanya,waache kuabudu mizimu,walitakiwa waandamane kudai haki zao sio wanaandama kumpinga Lissu mpigania haki....si buresarakasi za mwigulu zimeanza,NYERERE WAS VERY WRONG....wasome kitabu kinaitwa THE DARK SIDE OF MWL NYERERE
Kaka umenena,tunafarijika kuona tuko wengi tunaofikiri positive.....Lissu ni mtanzania pekee aliethubutu kusema ukweli...hongera sana TUNDU LISSU NA UBARIKIWE
mkuu big up sana mkuu,nawashangaa sana ccm jk alipokuwa hai hawakutimiza wala kuyaishi yale sahihi aliyosema..walisema yamepitwa na wakati,leo ni marehemu wanajifanya kumtumia kama nukuu za biblia,wanafiki hawa tulione hili...wanatafuta tonge tu
WATANZANIA TUACHENI UJINGA HUU WA KUPITILIZA,LISSU HAJAMUUA JK NYERERE WALA HANA HARUFU YOYOTE YA UFISADI!..AMESEMA TU UKWELI,WATU WAMEMUUA YESU MWANA WA MUNGU SEMBUSE KUSEMA UKWELI KUHUSU JK AMBAE NI BINADAM TU TENA WA KAWAIDA?msiaminishe watanzania ujinga.....NYIE NI WATUMWA MSIOTAKA KUWA HURU...
Hajulikani kwa watetezi wa wanyonge,kazi yake ni kufanya shows za kuonyesha kuwa anavumilia shida na yuko karibu na wananchi lakini ni km anawasanifu tu wananchi,sioni kingine maana anafanya unafiki tu aonekane kwa wananchi lakn kelele zake hazifanyiwi kazi.....mfano mawaziri mizigo ambao leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.