Recent content by Mynah -lee

  1. Mynah -lee

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote kuhusu kazi za viwandani

    mm natak kazi vibarua mkuu z viwandani
  2. Mynah -lee

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ikiwa matokeo yangu hayapo NACTE na sijathibitishwa?

    Naomba mnisaidie nini tufanye ikiwa darasani kwetu karibia wanafunzi wote wa diploma hatujawa verified NACTE. Chuoni tunajitahidi kufatilia tunaambiwa tusubiri tu mpaka dirisha lifunguliwa na wakati mwaka huu tunataka tu apply degree. Naomb msaada wakuu hakuna namna nyengine au ndo mpaka chuo...
  3. Mynah -lee

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kitu cha kufanya taarifa zikiwa hazijawaverified NACTE ili kuliwahi dirisha la pili

    Kwa hiyo ina maana niende nacte ndo nitasaidiwa
  4. Mynah -lee

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kitu cha kufanya taarifa zikiwa hazijawaverified NACTE ili kuliwahi dirisha la pili

    Naomb unisaidie na mimi nina tatizo kama lako Bro.
Back
Top Bottom