Recent content by myda

  1. M

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Interview ya pili ni balaa,Mungu atende miujiza!🙏🙏🙏🙏
  2. M

    Mwenye updates kuhusu Onfon Media

    Kazibongo blogspot on 30th march...
  3. M

    Mwenye updates kuhusu Onfon Media

    Mambo vipi wadau,nauliza kama kuna mtu mwenye updates kuhusu hii company post ya trainee customer care representative/administrative assistant..asanteni!
  4. M

    Advance Bank na Mishahara Yao

    Hakuna directors wa kizungu,wanaointerview ni mahr na matrainers waswahili tu..na english yao ni ya kawaida sana!mimi nimeshafanya oral!
  5. M

    Updates kutoka Advans Bank Tanzania na UTT Microfinance Plc

    Advans interview ya dar tayari,written ilikuwa jmos tar 19,and oral imefanyika jana..I was there,nasubiri majibu tu sasa!but kutakuwa na other interview kwa waliopo mbeya jmos itakuwa written..wakimaliza,wataungana na watu wa dar for 2 months training!
  6. M

    PPF Aptitude Test

    Umepigiwa cmu kuhusu hiyo ampitude test or?
  7. M

    Update TPB Bank

    Wamekuita lini,mimi nliapply post hiyo pia february..naona kimya..leo nimeona wametangaza tena post hiyohiyo!!
  8. M

    Updates za Exim

    yap imerudiwa,walitangaza tar 1 march..niliapply by e-mail na ilikubali...juzi nimeona wamerudia tangazo tena.Mimi nilitumia e-mail hii back then.....hrrecruit@eximbank-tz.com
  9. M

    Nafasi za Kazi Benki ya Posta Tanzania

    nafasi ya BOO(Bank operations officer) ilitangazwa tokea february..na watu tukatuma maombi..leo inatangazwa tena..seriously hawajaona cv zetu ama??
  10. M

    Updates za Exim

    Mi naona vyote sawa,kama unaweza kupeleka peleka..ila email ndo rahisi..
  11. M

    Updates za Exim

    Hawajasema deadline lini!
  12. M

    Updates za Exim

    ob Opportunities at Exim Bank Tanzania Exim Bank Tanzania’s continued success relies on its core values, it provides platform for flourishing opportunities for each employee to be a capable leader. Our winning culture mandates that we invest in people, promote learning and remain endlessly...
  13. M

    Updates za Exim

    No update,bado wanatangaza!
  14. M

    Call for interview

    Huwa inatokea kusahau post uliyoapply..ilinitokea back then,nikatafuta notebook..huwa na note chcht nachoapply iwe by email or by posta..plus post ya wa2 wangapi!short org history..anza sasa...
Back
Top Bottom