Mkuu, ulishawahi kukosa usalama? Lissu kanusurika kifo akiwa hapa kwa hao watanzania unaosema, watanzania ambao wamekataa kufanya uchunguzi wa shambulio lake, watanzania ambao wamezuia mshahara wake, watanzania ambao wamekataa kutoa pesa ya bunge kumtibia? Hebu tuambie aje awaeleze watanznia...
Imevujaje ? Wakati naona kuna mtu mwingine anarecord tena yuko mbele hapo na hajaficha recorder yake ? Na Lissu anasema anajua taarifa zikiwafikia wengine watasema amekua omba omba which means haikua kikao cha siri
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.