Recent content by My Mud

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    mkuu jeshi huwa wanaumri maalumu wa kujuunga au kwa ulaya ni tofauti
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatiiwa na DEREVA unapokaribia alama za ZEBRA

    dodoma zebra zinazo heshimika ni mbili tu, ya jamatini na zebra ya relini kama unaenda mahakama kuu opposite na kanisa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

    kwanini electrical na electronics mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

    div three ya 25 c tatu ya phy,bios na kisw mengine d.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

    asante sana na ubarikiwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

    Kheri ya mwaka mpya wanajamvi. Nina ndugu yupo U.S nataka niende huko ila napenda kama nikienda basi niende nikasome katika fani ninayoipenda yaani mechanics sasa sijui kwa elimu yangu itaewezekana au nibaki bongo tu nikasome VETA.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

    nashukuru sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

    nashukuru sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni jinsi ya kujiunga advance level U.S.A

    kwenda kusoma a level secondary schl
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

    kwa four leaver wa bongo akienda kenya anaweza kujoin unvrty au!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni jinsi ya kujiunga advance level U.S.A

    Hi every body! naomba ufafanuzi hapa,ukitaka kwenda kusoma marekani kwa level ya advance secondary ni shart uwe na level ipi ya elimu ya hapa tanzania? na ukisoma advance ya marejani unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tz na kupata mkopo?thank you.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani vinahitajika kujiunga A-level Kenya?

    Hi every body! Naomba ufafanuzi hapa, ukitaka kwenda kusoma Kenya kwa level ya advance secondary ni sharti uwe na level ipi ya elimu ya hapa Tanzania? na ukisoma advance ya Kenya unaweza kujiunga na chuo kikuu cha Tanzania na kupata mkopo? Thank you.
Back
Top Bottom