Recent content by Mwzllaaaah

  1. M

    Ushauri wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory Pale Muhimbili?

    Samahani Wapendwa mimi Ni muhitimu wa kidato Cha sita mwaka huu(2020) nilisoma PCB na nimepata DDD nina two ya 12, Nauliza kama Kuna uwezekano wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory Pale Muhimbili?
  2. M

    Naomba Msaada wa Ushauri wenu kuhusu matokeo haya

    Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu, Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020). Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???
Back
Top Bottom