Recent content by Mwl. Sima

  1. M

    M/kiti kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara: Uzalishaji wa Sukari Tanzania haukidhi mahitaji

    Ndg yng motochina kila mtu anauhuru wa kutoa mawazo yke bila kujali anamahitaji na jambo fulani zaidi ya maslahi ya nchi. Bahati mbaya sn hujui ulisemalo
  2. M

    M/kiti kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara: Uzalishaji wa Sukari Tanzania haukidhi mahitaji

    Afterow serikali haikurupuki, tuna kila sababu ya kumuunga mkono JPM kwa dhamira yke ya Dhati ya kuhakikisha Tz I naondokana na utegemezi. Tuzalishe zaidi wenyewe vijana waweze kupata ajira.
  3. M

    M/kiti kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara: Uzalishaji wa Sukari Tanzania haukidhi mahitaji

    Mh. Mary Nagu sio mkt wa viwanda, biashara na mazingira
  4. M

    Lazaro Nyalandu atangaza nia ya kuutaka Urais 2015

    Hatmaye mbunge wa Dingida kaskazin mh. Nyalandu leo ktk mkutano wa jimbo Ilongero ametangaza rasmi nia ya kugombea urais 2015. Ktk hali isiyotarajiwa hivi karibuni mbunge huyo alishushiwa shutuma nzito na UVCCM wilayani kwake na kupewa siku 14 kujibu hoja za vijana hao. Leo anatangaza nia na...
  5. M

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Tunakupongeza sn Dr. Mwakymbe kwa harakati zko za kupambana na ufisadi,tunatambua vita kubwa uliyonayo ndani na nje. Sikuzote muuza utumbo hakwepi nzi. Keep it up!
  6. M

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Thnk Big! Pia huna uwezo wa kuhoji udr. Kwny jambo km hili ambalo watz waliowengi wanalipongeza jambo hili,acha ushabiki ni lazma uthbitishe alipokurupuka na ujue hao wafanykz wanaendaje kwke,issue inaonesha dhahili wizara ya kilimo itawajibika kukaa na wafanykz waliostaafu.
  7. M

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Ni lazma muwe analytical kwny issue km hii inayoleta utata,ni vema tujiulize kwn mpk sasa nchi yetu inawafanyakazi wastaafu na imeathiri kwa kiwango gani taifa hili na nn kifanyike sasa?
  8. M

    Mwakyembe amfukuza mfanyakazi aliyestaafu 2013

    Hivi unaweza kuthubutu kusema Dr. Tena anadhamana ya umma na serikali pia kwamba hana akili? Kwl vijana mmechanganikiwa na siasa zenu za majitaka.
  9. M

    Nape Nnauye ampiga katibu wa CHADEMA mkoa wa Singida

    Katibu wa ccm mkoa wa singida ni mwanamke,mnajitajia tu watu hivyo
  10. M

    Nape Nnauye ampiga katibu wa CHADEMA mkoa wa Singida

    Hizi ni taarifa za udaku hazina kichwa wala miguu! Cdm na uwaka wamepoteza muelekeo na kuanza kuzusha mambo ya kinafiki.
  11. M

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Lema,mabomu ya Arsha unahusika sn usilete visingizio vya kuundwa tume mnayoitaka ninyi.
  12. M

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Msitufanye wapofu,ukwl wa mabomu Arsha mnaujua vizr
  13. M

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Ww inaonekana ni mgonjwa wa akili unafuata maneno ya lema bila kufikiri,hebu fikiri kwnza sio kila kinachosemwa na yeyote kina ukwl. Hivi lema tangu lini amekuwa mjumbe wa cc ccm? Thnk Big
  14. M

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Lema leo kamtambua Rais, ama kwl nidhamu ya uoga inafundisha. Nashkru wadau mmemwelimisha alichosema Rais nasio upotishaji wa lema kwa umma. Ila si shangai ni kwaida yenu kupotosha ukwl lkn kwhili lema umechemka sn huna nafasi yakupotosha umma tena. Nitawashangaa watu wa arusha kuendele na...
Back
Top Bottom