Recent content by mwl nyakua nyakitita

  1. M

    JamiiForums Tunaowaficha kwenye pazia la Freemason ni wauza madawa ya kulevya

    Kuna baadhi ya watu wamepata mafanikio ya haraka na ya ajabu,tumekuwa tukiwahusisha mafanikio yao ya haraka na freemason.hawa watu ni wauza madawa ya kulevya na kwa dili wanazofanya wanafurah kuhusishwa na freemason. Wanatuelekeza zaid akili zetu zizame kwenye ufreemason kwa kuvaa vitu...
  2. M

    JamiiForums wafanya biashara wa tz, sina chenji nenda duka linalofuata

    Ukinunua kitu chenye kurudi chenji 100 au 50 utapewa unachohitaji ,alafu utaambiwa samahan mia sina.
  3. M

    JamiiForums Kuwatakia kheri wanaJF

    Ndio nimejiunga na JF, naombeni ushirikiano.Hoja zangu nyingi zitajikita kwenye kero za walimu dhidi ya ukandamizaji wa CCM na serikali yake. HIKI CHAMA WALIOBAKI KUKITETEA KWA SASA niwale WENYE MASLAH NACHO.YAAN MAMBO YAKE NA MASLAHI YAKE YANATEGEMEA UWEPO WA CCM,AU MKWEPA KODI AU ANA CHEO CHA...
Back
Top Bottom