Recent content by Mwl Never Better

  1. Mwl Never Better

    Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo

    Combination - CBG O' level-KIHENYA SEC SCHOOL A'Level-KASULU HIGH SCHOOL. Bachelor science with education. Kwa diploma nlitaka-Special diploma in primary education.
  2. Mwl Never Better

    Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo

    Sikuelewa maada ya uandishi hiyo ndo issue. Lakini ulichokiona ni reality.
  3. Mwl Never Better

    Kukaa na msichana kwenye mahusiano zaidi ya miaka 3 bila kushiriki tendo ni sawa?

    Kuna brother ana mpenzi lakini hajawahi kulala NAE ni mwaka wa nne sasa wako kwenye mahusiano. Je wewe una mshauri Nini? Au je! Ni vizuri kulala/kujamiana Kabla hajamuoa mschana huyo? Toa mawazo kulingana na mtazamo wako
  4. Mwl Never Better

    Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo

    Ni mwaka wa tatu nmeomba mkopo helsb lakini sijapata. Je njia Gani niweze kutumia ili mwaka huu nipate? Au ni vizuri niende diploma niachane na bachelor degree?
  5. Mwl Never Better

    Mkopo sikuwekewa na sijabahatika kwenda chuo.

    Nmeomba mkopo wa chuo kikuu ni mwaka wa tatu Sasa sijafanikiwa kwenda chuo. Kwasababu ya kukosa mkopo. Je ni njia gan nitumie niweze kupata mwaka huu? Au ni vizuri nikajiunge na vyuo vya kati? Naomben mawazo hapo........
Back
Top Bottom