Mgombea Urais Wa Chama cha ACT-WAZALENDO Mama Anna Mghwira atafanya mkutano Leo ktk jimbo la Kasulu.Mama Anna Mghwira ameambatana na Mgombea Mwenza na pia atakuwepo Kiongozi Wa Chama cha ACT-Wazalendo Ndugu Zitto KABWE.Mkutano unafanyika viwanja vya Kiganamo Kasulu.Mgombea Urais pia atamuombea...
Chama cha ACT-Wazalendo kinamsimamisha Ndugu Samson Mwigamba kuwa mgombea Urais wa Chama hicho.
ACT-Wazalendo watafanya Mkutano MKUU wa Kidemokrasia wa kupitisha jina la Mgombea Urais. ACT-Wazalendo kimemsimamisha mtu muadilifu tofauti na vyama vingine.
Chama cha ACT-WAZALENDO kinatarajiwa kufanya mikutano mikubwa ya kukieneza chama hicho ktk WILAYA za Kibondo na Kasulu.Wahutubiaji Wa mikutano hiyo ni Kiongozi Wa Chama Zitto Kabwe na Mwenyekiti Wa Chama Anna Mghwira na Viongozi wengine Wa TAIFA.
Maandalizi yote yamekamilika na watu wameanza...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa alipofukuzwa wanachama katika chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) alitamani kujiunga na Chama Cha NCCR-Mageuzi kwani ndicho chama ambacho kilikuwa
kinaendana na itikadi yake anayoifuata na kuiamini ambayo ni...
Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI TAIFA JAMES MBATIA ameanza ziara ya wiki moja mkoani Kigoma.
Mbatia amejikuta akifanya ziara peke yake bila kuongozana na viongozi wa UKAWA Mkoani Kigoma. Viongozi wa NCCR-MAGEUZI walipowahitaji wenzao wa UKAWA hasa wa Chadema na CUF waliambiwa kuwa UKAWA upo Makao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimejikuta katika wakati mgumu ambapo wameshindwa kufanya mikutano katika wilaya ya Bariadi na Maswa mkoani Simiyu. Baada ya chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mikutamo katika wilaya hizo, CHADEMA nao walitangaza kufanya mikutano kwa siku ya leo.
Naibu katibu...
Chama cha ACT-WAZALENDO kinafanya mikutano ktk mkoa wa Simiyu baada ya kumaliza ktk mkoa wa Mara mjini Musoma.
Tayari nipo mkoani Simiyu na watu wameshaanza kujitokeza katika hivi vya mkutano.
Tutawaletea kila kitakachoendelea ktk eneo hili la Mkutano.Tayari wamemaliza mkutano ktk wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.