siasa ya TZ yaandaa shimo la kuizika elimu kama ;
1.kufutwa kwa somo la sayansi kilimo kwa shule za msingi hali kilimo ndo uti wa mgongo wa nchi yetu.
2.kuondolewa kwa sayansi kimu hali ndo liliwasaidia wanafunz wa shule za msingi kuweza kuhitimu wanajua suala zima la usafi ,usaf wa watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.