Mtia nia Jimbo la Musoma Mjini, Eliud Tongora ambaye ametuhumiwa kwa rushwa ya kuwahonga baadhi ya viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Musoma Mjini ili apitishwe kugombea Ubunge Jimbo la Musoma Mjini hatimaye ameipeleka CHADEMA mahakamani.
Baada ya kikao cha Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Wilaya...
Mtangazania Jimbo la Musoma mjini kwa tiketi ya Chadema, Eliud Tongora (a.k.a. Mkorea) anajiandaa kuipeleka Chadema mahakamani ili alipwe pesa zake sh. 6,000,000/- (milioni sita) alizowapa viongozi wa Chadema wilaya ya Musoma mjini kwa madai kuwa angepitishwa bila kupingwa kugombea Ubunge Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.