Recent content by mwita1976

  1. M

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    The road from Arusha to Musoma is must activity, why should we become slaves for things? Are we deciding to be slaves of animals now? we are masters to animals and not slaves to our own animals. The project is relavant and must keep going! We are the ones to decided what to be done and when...
  2. M

    Kuweni makini na facebook

    Hizo ni habari nyepesi ingawa zaweza kuwa na ukweli, dhambi ni suala linalokaa moyoni na sio kwenye facebook. Huyo dada alikuwa na shida hiyo na kwa vyovyote vile angetimiza azma yake hiyo hata kama asingekuwa kwenye facebook. Nas sio kweli kwamba wote kwenye facebook wanajadili mambo ya ngono...
  3. M

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Gaga, tafadhali rudia pole pole hiyo mada ya mdarasini, naona kama una mantiki vile ila umeandika kwa haraka kwa hiyo hatukuelewi vizuri. Rudia mada pole pole fafadhali.
  4. M

    Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    Suala la mdarasini na asali huwenda lirudiwe tena upya, tunataka kujua, fafanua vizuri na kusiwe na utani tafadhali
Back
Top Bottom