Recent content by Mwishokambi

  1. M

    Kitendo cha Yanga Kujiandaa Kuikabili Simba Kwa Siku Tatu tu Baada ya Siku ya Mwananchi September 12 Ni Dharau Kubwa Kwetu Simba, Lazima Tuwaonyeshe

    Yanga wana siku ya mwananchi tarehe 12, halafu baada ya siku 3 tu wanaikabili Simba kwenye ngao ya hisani. Je wameona mechi hiyo kwao ni mteremko? Je code zote za Simba bado wanazo ndio hawana presha Je ndio maana msemaji wao anaropoka tu akiwa na uhakika na anayosema? Je upinzani wa Simba...
  2. M

    Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  3. M

    Hongera Bw Magori kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba Sports Club, Mtafute Kaduguda Myamalize ili Nguvu Moja Ikae Sawa

    Bw Magori, nakupongeza mnoo kuwa mwenyekiti wa bodi ndani ya klabu yetu, Aidha kuondolewa kwa Try Again kumenifurahisha mnoo, kurudishwa kwa Barbra na Swedi Nkwabi nimefurahi pia. Ombi Nakuomba licha ya kuwa wewe uko upande wa mwekezaji lkn tuna imani na nyie kuliko hata ule upande wetu wa...
  4. M

    Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  5. M

    Yanga watatufunga tena Ngao ya Hisani Tarehe 16 Septemba, 2025

    Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi. Yanga hawangaiki tena...
  6. M

    GE2025 Othman Masoud hana uwezo kabisa mbele ya Dkt Hussein Mwinyi, Bora Babu Duni

    Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji. Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
  7. M

    Naliomba Jeshi la Magereza lizuie chakula anacholetewa Lissu na ndugu zake maana wana mpango wa kuchafua serikali

    Jana mmesambaza sana vipeperushi kuwa kuna mpango wa kumwekea sumu lissu gerezani kupitia chakula, sasa nashauri inawezekana ndugu zake na majamaa zake wanaompelekea mikate, sukari, maandazi, mihogo, wali, chips na kuku wakatumia mwanya huo kumdhuru ndugu yao ili kashfa iangukie kwa serikali...
  8. M

    Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
  9. M

    Mambo 10 Niliyoyaona Yanga Ikibeba Kombe Fainali Vs Singida Black Stars

    1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe tu.Wamecheza mpira mzuri na wengi tumeshangaa inakuwaje wanasajili wachezaji wazuri kuliko wa Simba...
  10. M

    PreGE2025 Zoezi la uchukuaji fomu limedhihirisha pasipo shaka kuwa CCM ni chama kinachopendwa, chenye mvuto na itikadi ya kweli

    Leo mitandao yote imezima, CCM imezima takataka zote za uhaini, za no reform no election, hakuna cha Heche wala mamake Heche leo, leo ni mwanzo mwisho CCM. Hivi kwa mziki huu wa watu wenye majina makubwa na mvuto kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama unawezaje kuzuia uchaguzi wewe? CCM ni chama...
  11. M

    GE2025 Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Nakuomba Sana, Majina Matatu Kura za Maoni Hayatoshi, Napendekeza Wagombea Sita Waingie Kwenye Mpambano Badala 3

    Kumekuwa na mambo mkubwa sana wa makada kujitokeza kuchukua fomu leo, nna wasiwasi sana wajumbe wa kamati za siasa za kata na wilaya huenda zikafanya upendeleo kwa wajumbe kwa kuwapa maksi wale wanaowapenda ili washike nafasi 3 za juu na kisha majina yao yaende Dodoma yarudi hayo, najua fomu...
  12. M

    Hamkani si shwari ndani ya klabu yetu ya Simba ila nachojua Mangungu anapigishwa shoti na wasiompenda

    Mimi sio mshabiki wa Murtaza Mangungu na simpendi kabisa kabisa, kwa sababu hana lugha nzuri, hata sijui kwa wananchi wake jimboni pale Kilwa Kaskazini anawajibu kama anavyowajibu wanachama, viongozi na mashabiki au vip. Najua kesho Mangungu atakuwa Kilwa kuchukua fomu, tumuombee kwa mungu...
  13. M

    Ujumbe wa kizalendo: Tujitambue kama taifa, tuachane na mambo ya mpira

    Katika watu wasenge wewe ni mmojawapo, tangu uanze siasa lini umeingia barabarani kupambana na dola zaidi ya kuwaingiza wenzako mkenge, mwenzako kasema no reform ss hv analiwa kiboga jela huko, huko kenya unakosema wanajitambua washakufa wenzako kenge mkubwa wewe
  14. M

    Waandishi wa Habari muulizeni vizuri Ally Mayai Tembele na awajibu kwa usahihi nini kimemkuta wizara ya Habari hadi akaondolewa kwenye ukurugenzi

    Haihitaji kwenda shule kujua kuwa hayupo wizarani, unawezaje kugombea urais TFF ukiwa na cheo serikalini? Mkurugenzi wa Michezo ni mtu mkubwa sana, anatoa maagizo kwa TFF, inakuwaje uache kuwa mkubwa serikalini uende TFF? Aidha, tulikuwa tunamuona sana uwanja wa mkapa akikagua uwanja pamoja na...
Back
Top Bottom