Recent content by Mwisenge1993

  1. M

    Mtatiro: Amri ya kumkamata Zitto yatolewa "hivi walioenda kukopa Tril 1.2 bila idhini ya Bunge wataitwa lini?"

    Kinachonishangaza ni kuona watu wenye akili zao wanakubaliana na huu uzwaza wa Mtatiro
  2. M

    Iwapo Bunge litaongeza muda wa Rais na Bunge kukaa madarakani,wananchi hawawezi kufungua kesi kupinga uamuzi huo?

    Ahahahaha ok, nikukumbushe mifano michache kama akili yako ipo tayari? Unakumbuka Swala la fao la kujitoa? Ni Mbunge Mnyika na Jafo pekee waliolipagania sio sijui huyo Msigwa au Lissu, unakumbuka swala la kuondoa posho ya wabunge? Ngoja nihishie hapa
  3. M

    Rais Magufuli azindua barabara ya KIA hadi mji wa Mererani, Awataka JWTZ kujenga Ukuta kuzunguka Machimbo ya Tanzanite

    Wakabila wakubwa nyie MA-CDM na uraisi hamtapata labda asimame mtu toka kanda nyingine na sio huko kwenu na lazima tuwe na uhakika hakuna kanda hiyo nyuma kama remote control na hii inamaanisha CDM kutoa raisi ni miaka kama 20 ijayo baada ya kizazi cha kaskazini kupungua ndani ya chama au...
  4. M

    Sijawahi kushuhudia wapinzani wa aina hii katika maisha yangu

    Inawezekana hujamfuatilia huyo Lisu wako na wala hajapewa dhamana ya kusimamia kodi za hii nchi
  5. M

    Iwapo Bunge litaongeza muda wa Rais na Bunge kukaa madarakani,wananchi hawawezi kufungua kesi kupinga uamuzi huo?

    Sikubaliani nalo hata kidogo ila kwa sababu tumeamua kuwakabidhi akili zetu wanasiasa kulingana na vyama tunavyosapoti tumeshashindwa tumegota tayari hakuna kwenda mbele tumegota mazima, usiwaamini kabisa hao sijui ukawa sijui ccm wote majambazi katika makoti tofauti, nakuhakikishia tena kura...
  6. M

    Iwapo Bunge litaongeza muda wa Rais na Bunge kukaa madarakani,wananchi hawawezi kufungua kesi kupinga uamuzi huo?

    Ahahahahaha labda kama kura ni za wazi ili kuwalaghai nyie wafuasi lakini kura za siri wote watasapoti nakuhakikishia
  7. M

    Iwapo Bunge litaongeza muda wa Rais na Bunge kukaa madarakani,wananchi hawawezi kufungua kesi kupinga uamuzi huo?

    Nakuhakikishia kwenye hili wabunge wote watalisapoti, usiwaamini sana hao unaowaamini
  8. M

    Iwapo Bunge litaongeza muda wa Rais na Bunge kukaa madarakani,wananchi hawawezi kufungua kesi kupinga uamuzi huo?

    Sasanyie mtakuwa mnazuia demokrasia isifanye kazi yake yaani nyie wachache mlazimishe wengi wakubali mnachotaka umewahi ona wapi hiyo....walio wengi ndo wana nguvu ya maamuzi, 2015 mlikosea sana nguvu nyingi mlielekeza kwenye uraisi ambao mlijua kabisa hamuwezi shinda
  9. M

    Iwapo Bunge litaongeza muda wa Rais na Bunge kukaa madarakani,wananchi hawawezi kufungua kesi kupinga uamuzi huo?

    Wewe hesabu unajua kweli, November 2015-2016 1st Year, November 2016-October 2017 2nd year, wewe hiyo miaka mitatu unaitoa wapi, au unaongelea kitu gani, inawezekana nimejibu kitu usichomaanisha samahani lakini maana haya mambo ya hesabu ni janga hapa Tanzania. Hesabu ni somo jepesi waweza...
  10. M

    Dereva wa Lissu: Waliomshambulia Tundu Lissu, walitumia gari la Nissan Patrol T 932 AKN

    Mimi na mtazamo tofauti kuhusiana na hili......Inawezekana kabisa CDM wamepanga hili tukio bila Lissu kujua na dereva akawa anatumika kila stage, na hata hiyo taarifa ya kufuatiliwa aliyoitoa Lissu ni dreva ndio aliyemwambia na wanamjua Lissu lazima angeongea kwenye vyombo vya habari, na baada...
  11. M

    Niwaombe wabunge wa CCM vaeni uzalendo kwenye hili la Nkamia

    Uchaguzi uliopita tuliwaambia wekeni focus kwenye wabunge mkajifanya wendawazimu mkatuletea lile zee Lowasa kwa kura za ndio na hapana pale mlimani city matokeo yake wabunge mnao wachache, na demokrasia inasema aliyepata kura nyingi ndo aliyeshinda, kwa hiyo Nkamia ana haki zote kupeleka huo...
  12. M

    Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na trioni 1.2 za kitanzania)

    Inawezekana mimi ndo sijaelewa, nimesoma hiyo tarifa hiyo milioni 900 ni principal plus interest ambayo naona si kitu cha ajabu, maana hapa NBC tu tunachukua vimikopo tu vya milioni 100 wanatukung'uta milioni 190 principal plus interest.
  13. M

    Chondechonde Rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako!

    Mbona mnalilia mswada unapelekwa bungeni na bunge lina uhuru wa kuamua kukubali au kukataa wasiwasi wenu nini, hii ndo chungu na tamu ya demokrasia. Kila siku mnalalamika raisi anaingilia bunge mara sijui nini halafu sasa hivi mnataka ainglie kuzuia mawazo ya wabunge, mbona hamueleweki.
  14. M

    Chondechonde Rais wangu Magufuli, hili ni jaribu kuu kwako!

    Hii nayo pointi nzuri sana yaani ZZK,Lema na Sugu wakatae kweli kujiongezea miaka 2 haiwezekani. Kama kuna swala litawaunganisha wabunge basi ni hili swala
Back
Top Bottom