Recent content by mwipwa

  1. mwipwa

    Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

    Mwandishi ulisahau kusema Wabena, wahehe na WAKINGA…
  2. mwipwa

    Je, umewahi kughairi mechi ya kula/ kuliwa tunda? Ilikuwaje?

    Kumbe wengi tunafikia hapa [emoji28][emoji28]
  3. mwipwa

    Natafuta kazi yoyote ya kupata angalau 15,000/= Tsh per day

    Mkuu ukipata deal linalo eleweka tuunganishe na sisi mkuu..japo mi bado nasoma nipo dsm pia..
  4. mwipwa

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    AM WELL EDUCATED MAN , 25 years by age , Student at DIT institute of Technology mwaka wa Mwisho batchelor wa Civil Engineering, Am in need of party time job mpaka mwezi wa 1 mwakani… Nina leseni ya gari and someone who can be trusted, kama unagari na hautumii sana let’s have a deal tufanye...
  5. mwipwa

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Waandishi kama ww mnaboa sana.. wengine jamii forum kuingia hadi weekend tunapo pumzika..
  6. mwipwa

    Siku niliyotongozwa na huyu Msichana wa Instagram (Shabiki wa Harmonize)

    Waandishi kama ww mnaboa sana.. hii story ilitakiwa iishe..
  7. mwipwa

    Jibu lipi zuri kwa mtu aliyekwambia “I miss you” na wewe kiuhalisia hujammiss?

    Ni kama nilijua tu nitamissiwa [emoji23][emoji23][emoji23] Huyu kaniambia kanimiss [emoji16][emoji16]
  8. mwipwa

    Jibu lipi zuri kwa mtu aliyekwambia “I miss you” na wewe kiuhalisia hujammiss?

    Hii mpya alooh [emoji28][emoji28][emoji28] Anyway naongelea hisia zaidi (emotions)..
  9. mwipwa

    Jibu lipi zuri kwa mtu aliyekwambia “I miss you” na wewe kiuhalisia hujammiss?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanataka mkuyenge tu masta na wewe ndio kwanza huna time..
  10. mwipwa

    Jibu lipi zuri kwa mtu aliyekwambia “I miss you” na wewe kiuhalisia hujammiss?

    Salamu kwenu wapwa, Nadhani hata wewe imewahi kutokea hii sometimes, kuna muda inatokea unaambiwa “I miss you” na mtu ambae kiuhalisia hata hujammiss; yawezekana akawa mpenzi, Ex, rafiki au ndugu. Hii ni kwa sababu ukijibu tu “I miss you too”unajua kuna kitu kinafuata na wewe hutaki kitokee na...
  11. mwipwa

    Waha wanaume wana helaaa ila hutopata hata mia yake

    Nachopenda kuhusu wakinga hawaongei sana [emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom