Mikoa mingi tuna mawakala huko chukua no utuambie upo mkoa upi tukuunganishe na muhucka huko km mkoa huo bado hatuna basi unatumiwa kwa basi.
Ahsante mkuu
Shuka 1 kubwa size 8*8 cotton na foronya 2 kwa tsh 20,000 tu
Jumla 18000 kuanzia pics 5
Ukitaka pair ni shuka 2 foronya 4 kwa tsh 38000 tu
Tunapatikana sinza mgabe
Tufollow instagram onlinebussines
0717373037 oda
Unaweza kwenda ilala asb sn ukachukua nguo za wadada kwa bei ya jumla 3000-3500 ukarudi home kuziongezea thamani kwa kuzipasi vzr kisha ukatumia mitandao kutangaza biashara yko,ukapita kweny maofisi mbali(hawa weng hawana muda wa kwenda kutafuta nguo),masaloon nk ukawauzia kwa 8000-10000...
Tunauza mashuka makubwa ya cotton size 8*8.
Linakaa shuka moja na foronya mbili.Bei rejareja 20,000 tu.Jumla 18000 tu kuanzia pics 5
Tunapatikana sinza dar es salaam
0717373037 no ya oda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.