Recent content by mwinyi mpemba

  1. mwinyi mpemba

    Tiba ya mapele kichwani

    kwa mtu mwenye tatizo kama hili achukue manemane na aisage na kuwa unga laini kisha awe ana nyunyizia kichwani sehemu iliyoathirika inshaallah utapona na tatizo kuondoka.
  2. mwinyi mpemba

    Kufungua hedhi

    Assalamu alaikum, Leo nipeonelea kutoa mada hii maana tatizo hili linawakumba wanawake mbali mbali kwasababu mbali mbali ikiwemo Hormone imbalanced Utumiaji wa dawa za upangaji uzazi. Matatizo ya kijini. Na matatizo mengineo mengi tu. Kwa mtu mwenye tatizo kama hili ana takiwa kwanza ajue...
  3. mwinyi mpemba

    MSAADA; Tatizo la tumbo kuunguruma

    Hiyo pia no mojawapo ya dalili za gesi tumboni
  4. mwinyi mpemba

    Jino la juu acha kabisa.

    Sio kila dawa nzuri ni ya kiarabu, hizi ni dawa zinazopatikana kwa urahisi na kwa bei ya chini pia hazina madhara ya baadae kwa mwili.
  5. mwinyi mpemba

    Jino la juu acha kabisa.

    Nenda maduka ya madawa asili ama kisunna utapata
  6. mwinyi mpemba

    Makatazo ya mambo ya fuatayo kwa afya yako

    Inaweza kukusababishia madhara katika mwili hata kama sio sasa ila baadae utakujaona.
  7. mwinyi mpemba

    Jino la juu acha kabisa.

    Kwanza kabla sijatoa tiba, dawa ya jino sio kung'oa ila dawa yake nikulitibu. Mara nyingi ugonjwa wa meno husababishwa na bakteria wanaoathiri kinywa ndio mtu akashauriwa apige mswaki kila baada ya kula ama hususan usiku kabla ya kulala. Kwa tiba chukua mdaa, shabu na karafuu zote zikiwa unga na...
  8. mwinyi mpemba

    Makatazo ya mambo ya fuatayo kwa afya yako

    1. Usinywe maji ya moto baada ya kula chakula. 2. Usinywe maji ya baridi. 3. Usile vitunguu maji na kitunguu thaum kwa pamoja. 4. Usile kitu kikali halafu hapo hapo ukanywa maziwa ni hatari. 5. Usile mayai na maziwa kwa pamoja ni hatari sana. 6. Usile samaki na mayai inaweza sababisha madhara ya...
  9. mwinyi mpemba

    Maumivu ya viungo

    Poleni nimekosea.
  10. mwinyi mpemba

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kwasababu ya kuathirika kisaikolojia
  11. mwinyi mpemba

    Maumivu ya viungo

    Assalamu alaikum. Leo napenda kutoa faida ya mtu anae matatizo ya MAUMIVU YA VIUNGO. Kabla sijatoa tiba Mara nyingi tatizo hili linasababishwa na baridi na wale wanapendelea sana kula Nyama nyekundu kama ya ng'ombe, mbuzi na kondoo. Kabla hujatumia dawa yeyote hii jitahidi kuepuka mambo hayo...
Back
Top Bottom