Kama haya ndio unayaita mapungufu basi anafaa kuwa rais. Kama kweli unahulka ya upembuzi yakinifu compare and contrast mapungufu kati ya Kikwete na Slaa. Ili wenye akili timamu waone.
Hongereni kwa kutupa updates muhimu. Huenda ilipasa muwe mmelala usingizi wa usiku wa manane lakini mmefuatilia tukio hadi mwisho kwa usiku huu. Mungu amlinde huko ndani wasimtende vibaya. Kesho wananchi wa Arusha mjini wajitokeze kwa wingi kwenda Central Polisi kumwona huyo kamanda wa ukweli...
Vibaraka wa CCM mna kazi kweli. We ndio umeingia shifti ya usiku mnene? Day najua mnalipwa sh. ngapi; Je night ni sh ngapi?
Lukuvi hakushinda kihalali Ismani alimnunua huyo Dr wako. Utaona 2015 ataikimbuka nafasi yake ya ukuu wa mkoa lakini hataipata tena maana hakutakuwa na wakuu wa mikoa.
Jeshi linalotumia giza kufanikisha mikakati yake badala la Intelegensia sio jeshi bali mob of individuals ready to seek injustice and practise it.
Sha,e upon them
Karibu sana Mama hapa jamvini. Amin Amin nakwambaia si mwili na nyama vilivyokuongoza kuona umuhimu wa kujiunga na wanajamvi bali kwa kwa uweza wa roho ya mabadiliko katika kuijenga Tanzania ya kweli ili vizazi vijavyo vifaidi maziwa na asali ya Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar a.k.a Tanzania...
Lazima useme hivyo maana mpo likizo kufikiri katika kila idara na ni wazi kuwa mawazo mgando kama haya katika likizo hiyo hayawezi kukosekana. Nakutakia mafanikio mema ya kufikiri ndani ya uzio wenye giza totolo wa CCM.
Acha unafiki hizo zi mmesafiri nazo toka Dar mkawapa wananchi baada ya luwapa posho kidogo ili wazirushe mkimaliza umbea wenu. Au mnadhani intelegensia ya mabadiliko haijawanasa?
Wana Ludewa tumemtuma afanye kazi ya kuwatetea wananchi na ndio anayoifanya. Hajaenda Bungeni kuitetea CCM. Watamkubali tu. Na 2015 kwa kuwa wana Ludewa tunachagua mtu na si chama hata akijiunga na chama kingine chochote tutamchangua tu.
Ludewa Oyeee!!
Wasiwasi wangu ni endapo CCM haitaingilia uhuru wa mahakama kuu kama ilivyofanya mahakama ya kisutu.
Kila tukio linashusha umri wa CCM kuishi geometrically.
Siri ya mtungi aijuae ni kata. mbona unapiga propaganda za kitoto ambazo hata mtoto wa Primary anaweza kuzing'amua kinagaubaga? Tafuta propaganda za kiutu uzima si hizi za kitoto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.