Recent content by mwingereza2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

    Inakuwaje kuwa waliojeruhiwa ni wapinzani. Lakini waliofungwa jela ni wapinzani pia ? Angalau kama umeiba basi ni afadhali uwe na njia ya kujificha kidogo. Hii ni uwizi wa wazi. Ujambazi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM kimegeuka kuwa chama cha kikoloni

    Sikutegemea Nape aseme hivyo. Sishangai kwa Bashe kwani wanaopigwa siyo wasomali. Lazima hao walipata fununu kuwa karibu watashughulikiwa na mkuu. Nanjia kuu ya kupata cheo ccm siku hizi ni kupambana na chadema na upinzani. Jerry Muro tu hakufaulu kwani anatoka kanda mbaya. Mungu aweke mkono...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi katiba mpya nitunaomba au tunadai?

    Watanzania kwa.nini mnadhani kuwa ni wapinzani ndiyo wadai katiba mpya. Hiyo ni haki ya wote isipokuwa ya wanaccm kwani wao wanadhani wanakula good time.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

    Ahsante mama samia. A great lady. Very intelligent and human.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Baregu; "Zamani Tulikuwa Tunafuta Ujinga Kwa Watu Wazima, Siku Hizi Wajinga Wengi Ni Vijana."

    Ahsante Prof. Baregu. You are the only one left. Si uliona tulimfukuza the most intelligent prossional NIMR for no reason. Huwa hatupendi wenye kufikiri. Tunapenda sana wa ndiyooo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

    Uehodaya ndiyo mnavyofanya huko kwenu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamanda: Kuhusu kususia chaguzi

    Wananchi kwa nini mnayakubali matendo ya ccm???????? Kweli tunataka nchi isiyo na uhuru???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushindani katika chaguzi zetu hauko balanced.

    Aibu rais wetu. Nawasikitikia wote wanaoshangilia ccm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani acheni kulia lia fanyeni haya

    Inatia hasira sana. Siku mkitoka furaha hiyo itakuwa sawa na ya Mugabe alipotoka.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani acheni kulia lia fanyeni haya

    Ni nani ambaye hajui kwa nini ccm wanashinda uchaguzi Tanzania??? Kuna asiyejua goli la mkono hasa kwenye awamu hii?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii

    Kwa nini watanzania tumekuwa wajinga hivi hata tufikiri kuwa kudai hakini kazi ya upinzani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia yetu: Mjadala wa wazi kuhusu Demokrasia na nafasi ya wananchi katika kutoa maoni yao nchini Tanzania

    Watanzania tunasubiri vita ndiyo tufungue midomo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bashe na Masha, Kwa kauli zenu na yaliyotokea, kwanini msishtakiwe kwa Uchochezi?

    Jamani tuache utani nchi inaelekea jehanam. There is life after siasa. Tujali nchi siyo siasa.
Back
Top Bottom