Umeshawahi kusikiliza wimbo wa Prof. J 'Ndiyo Mzee'.
Aliandika mashairi yake mazuri kama-Yeye ni mteule aliyetumwa na Mungukuikomboa TZ,atafungua account kwa kila mtoto mchanga,mabaamaid watamiliki Benz,Askari watatumia helkopta,wakulima wote watatumia matrekta,wanafunzi practical...