Recent content by mwika

  1. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Pole na majuku ya kazi wakuu Kwakweli sisi wananchi wa Sumve , Misungwi mwanza tunapata tabu Sana tangu miezi minne tumefanya mchakato wa umeme Lakini mpaka leo tunaambiwa hakuna nguzo za kuunganisha umeme majumbani mwetu. Tunaomba wenye mamlaka na ili jambo watusaidie maana tunaona kama...
  2. M

    Rastafarians wamfanyia ibada Hayati Dkt. John Magufuli

    Kweli jamaa huyu ni watofauti kuliko alivyotuaminisha
  3. M

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Hakuna mwanadamu nyani acha frika za mapokeo , ww una ajenda kali nyuma ya pazia juu ya stori hii . Kaa jitafakali
  4. M

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Kwakweli hii story inafundisha na inaelimisha. Yaaani ulimwengu una mambo mengi sana Lwanda Magere umetoa Elimu kubwa Sana kwa jamii na kupitia story hii nitaakikisha watu wa karibu yangu wanasoma hiki kitabu, Please kitabu Cha sehemu ya pili naomba nijulishwe lini kitakuwa tayari.
  5. M

    Pata samaki wa maji chumvi

    Tunauza samaki wa maji chumvi Pata samaki wa Maji Chumvi kwa kiwango utakacho toka kwetu Kwa kilo tunauza 7500 Kama utachukua kuanzia kilo mia moja bei inapungua. Wasiliana nasi kwa namba 0765758624
  6. M

    Pata maturubai kwa bei nafuu na magunia ya katani

    Kampuni za kusafirisha mizigo mwanza zipo mkuu ni ww tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Tunauza Magazeti

    Bado tunachukua order gazeti zipo za kutosha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Pata maturubai kwa bei nafuu na magunia ya katani

    Ndio mkuu tunatoa nje Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Tunauza Magazeti

    Ndio mbona washangaa mdau Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Tunauza Magazeti

    Ndio karibu tufanye biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Tunauza Magazeti

    Pata magazeti safi kwa matumizi mbalimbali Tunauza kilogram 15 kwa shillingi 20,000/= Mkoani tunakutumia usafiri tutachangia kama utachukua kuanzia kilograms 1000 Wasiliana nasi kupitia namba 0683588226 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Pata maturubai kwa bei nafuu na magunia ya katani

    Gunia zetu zimetengenezwa kwa versatile materials ambayo ni bora na imara Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Pata maturubai kwa bei nafuu na magunia ya katani

    Nipigie kwa namba niliyotoa hapo juu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Pata maturubai kwa bei nafuu na magunia ya katani

    Dar es salaam Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom