Recent content by mwidihwe

  1. mwidihwe

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    naitabitia mabaya chadema2015
  2. mwidihwe

    JamiiForums Tanzania Mapigo matatu kwa Zitto Zuberi Kabwe, Bado pigo moja yatimie

    huna pigo lolote Bali tamaa za viongozi wako ndio pigo kw wachache wenye fikra finyu ambao wapo tayari kuuza haki zao kwa mafisadi na kuwaita ni watu wasafi hongera team lowassa kwa kufanikiwa kuinunua chadema pamoja na UKAWA kiujumla
  3. mwidihwe

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Uongozi la CUF latoa Masharti Magumu kwa CHADEMA katika nafasi ya Mgombea Urais

    huo usemi wa ukawa ni utapeli wa kugawana Mali za wananchi wa jamuhuri yamuungano wa Tanzania
  4. mwidihwe

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo wampokea rasmi Moses Machali Julai 21

    ni wakati wa kuwa wazalendo ndio maana ACT wapo hapa kuikomboa Tanzania
  5. mwidihwe

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa vyama, hii katuni imetengenezwa kuwadhalilisha viongozi wa UKAWA

    karibu sio kuwadhalilisha ila ni njia ya kufikisha ujumbe kwa njia ya vichekesho vya picha
  6. mwidihwe

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo kwa CUF kwenye kikao cha UKAWA kunaashiria nini?

    wamepoteza dira tayari maana hakuna chama kinachoitwa ukawa Tanzania Lana ya watanzania
Back
Top Bottom