Recent content by mwezi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Muheshimiwa hapo juu nakuunga mkono kwa hoja yako. Halafu huyu waziri Simba huwa ananichanganya sana kwa hoja zake za ajabu ajabu. Lakini inaonyesha siku zao zinakaribia mwisho.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Kwa jina naitwa Alex Mwezi. Naishi Sweden, mimi mwanachama mpya wa JF. Mimi huwa ninasoma sana magazeti pamoja na blogs za Kitanzania ili kujiweka sawa na hali ya maisha huko nyumbani. Kwa sasa naona siasa imepamba moto kweli kweli kuhusu ufisadi na mafisadi, jambo ambalo naliona kuwa ni zuri...
  3. M

  4. M

    JamiiForums Tanzania Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

    Yaani siasa za bongo raha kweli. Mafisadi kila kona, wengine wanawashambulia wenzao, wakati huhuo wenyewe wanafisadi kwa ruksa ya walalahoi. Tutafika kweli?
Back
Top Bottom