Recent content by mweusi47

  1. M

    Ubaguzi wa rangi uliokubuhu, Mtoto wa kiafrika aliyewekwa Zoo na kutupiwa ndizi mbivu

    Ni vyema zaid kulizungumza jambo ambalo unaujuzi nalo na kama hufahamu ni vyema zaid kunyamaza ipo tofauti kubwa kati ya uislam na waislam maana uislam ni haki na kweli tupu bali waislamu ni walio amua kuufwata na niwenye kufanya makosa, waarabu sio waislamu bali wapo waislamu wa arabu soma...
  2. M

    Usishangae lakini hii picha imenisikitisha sana

    Imekuwa dhambi kubwa kutaja Tanganyika na sijui kwa nin haswa
  3. M

    Ubaguzi wa rangi uliokubuhu, Mtoto wa kiafrika aliyewekwa Zoo na kutupiwa ndizi mbivu

    Unajaribu kujenga hoja pana mkuu maana kama hoja yako ikitendewa kaz inamana wing wa wanake unaweza kufanya idadi ya maraisi wanawake kuongezeka duniani, lakin pia hata sasa bdo sisi niwatumwa wao huenda kikubwa wa afrika wengi tunasahau mapema na hatuna wakati wa kutafakari na kujitambua
  4. M

    Kipanya katika ubora wake; wafuasi wa cuf sababu ya kupigwa kwao.

    Usitake kila mtu akujue umjinga na zezeta kiac gani chunguza kauli zako
  5. M

    Washabiki msipende kudandia treni kwa mbele mtagongwa - Shilole

    Sidhani kama tatzo nila shilole jamaa ndio mpuuz na walishawah kusema kama hujui unapokwenda huwez kupotea, yy wa mjini lakin bdo anachezea vitasa lazma hayupo sawa na hatendei haki nafasi yake kwan mwili hufwata kicha na hayo ndio matokeo ya udhaifu wake
  6. M

    Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    Wewe mtaro unatabu kweli kweli unaongea acha kukimbilia wengine, unanuka hujiui kuchibwa mtaro na kupaka make up wanaume ni mambo mawili tofaut acha mawazo madogo sikatai kupandwa hasa na warembo coz ndio wananogesha mambo vp ww kaz kuwaza kujamba jamba na makutu wenzio
  7. M

    Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    Mweusi sio ngazi hawez nipanda na kuhusukuwa bwana wang hapana mm sio wa kiivyo umeongea pumba ndio mana nika kusahihisha mrembo usikasirike maana kisirani kama pili pili mbovu we kama unamtaka kuwa muwaz bt sio unaponda na kupandikiza chuki
  8. M

    Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    Wewe maharage ya mbeya huna ishu usha dodewa unatafuta soko nikiwa shoga mm baba yako atakuwa nan au unajitapa kisa huyo mrembo mwenzio anae kushka shka pemben ushalowa ww kalale mbele sichimbi choo maiti wa bluu
  9. M

    Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    Nani akulaumu na wakati ndio ubongo ushafika tamati, pelekesha kule wewe makutu
  10. M

    Picha: Mengi akigawa utajiri wake

    Oky Faiza upendavyo na iwe hvyo sio amri ni ushauri tu na waweza muita vyovyote utakavyo
  11. M

    Picha: Mengi akigawa utajiri wake

    Haikuwa na haja ya kumuita kinyangarakati ni lugha ya kuudhi
  12. M

    Picha: Mengi akigawa utajiri wake

    Faiza usi2mie dini kumtusi mja wa mwenyez mungu wala kauli kali kwa wasio waislamu kwani sio kujenga dini bali nikupotosha ndugu yangu ktk imani maana hata Nabii Musa aliambiwa na mwenyez Mungu amlinganie Fir aun kwa maneno matamu na ya upole sasa kama ndivyo bac hyo haswa ndio njia ya...
  13. M

    Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    "Usicho kiona usiamini labda Mungu,Unachoskia ndio kabisa inaweza kuwa majungu mjinga ndiao anaamini kuna gundu ila ukimwamini Mungu utaona yote ni fununu tu" Jiongeze Dina au kuna kingine nyuma ya pazia kama hakuna una toa ushahidi mara moja maana mpk ww umejua bac huenda unalakukuaminisha
  14. M

    Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    Acha mawazo mafupi kwenye ndoa ulicho weza kuwaza ni dressing table pekee jiongeze haipendez maneno hayo kutamkwa na mtu timamu
  15. M

    Huyu ndiye mke mtarajiwa wa Hemedy PHD

    Kama alisema hafikiri hilo, sarafu inapande mbili wala maneno yake sio sheria kasema kwa sasa yupo tayari elewa hvyo acha kuupa ubongo maswali magumu yasiyo natija. Kila jambo na wakati
Back
Top Bottom