We mwongo na hujui kusoma hata katiba ibara ya 20(2) haina habari hizo labda kama hiyo nikatiba yenu. Ibara ya 20(2) inahusu Tume ya sayansi na Technolojia.
Katiba ni ya wananchi wote, kanisa katoliki mtuache tuamue wenyewe, pia wananchi wote siyo wakatoliki kwamba watafuata kauli yenu, hata hivyo hata wakatoliki wengine wanaipenda katiba ipigiwe kura. Kura tutapiga tu kwa manufaa ya taifa. Nchi hii haingozwi na dini wala kanisa au msikiti. kama...
Lakini baraza la maaskofu nalo limeonekana kuwa na nguvu dhidi ya serikali. Hizi ni hoja mbili yakwanza, kwamba katiba pendekezwa haikuzingatia maoni ya wananchi, pili kwamba muda wakuipigia kura uhairishwe. Nilitarajia viongozi hawa wawashauri wanananchi kushiriki kujiandikisha na siyo kuanza...
Nikweli wapo ambao hawana maadili ambalo ni jambo binafsi siyo la Chama. katiba haikuandikwa na chama, iliandikwa na kamati ya bunge maalum la katiba. Hata kilichotolewa pia kuna kilichoingizwa ambacho Tume haikuwa imekiweka. pia siyo lazima kila kilichomo kwenye rasimu ilikuwa lazima bunge...
HOJA ZA KUIKATAA KATIBA PENDEKEZWA HAZINA MASHIKO, MASLAHI YA WANANCHI YAMEZINGATIWA KWA KINA, SI KWELI KWAMBA INAWALINDA VIONGOZI PAMOJA NA CCM
MAKALA NO. 3
Kwa muda mrefu kumekuwepo hoja nyingi hasa kutoka vyama vya siasa, wanaharakati, wanasiasa, wanasheria pamoja na...
Kuna hoja kwamba haki za binadamu hazina ulinzi wala hifadhi ya kikatiba ndani ya katiba inayopendekezwa.
Kauli hii ni yauongo na haifai kuendelezwa kuwadanganya watu.
ibara ya 64(1) ya katiba pendekezwa inasema hivi,serikali na mamlaka ya nchi ina wajibu wa kuzingatia na kuhifadhi haki za...
UCHAMBUZI KUHUSU MUUNDO WA MUUNGANO KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWA (RASIMU YA TUME YA WARIOBA IMEBORESHWA NA HAIKUCHAKACHULIWA)
MAKALA NO. 5
Muundo wa muungano unaopendekezwa umeainishwa katika sura ya saba ya katika inayopendekezwa iliyoandikwa na bunge maalum la katiba. Ibara ya 73 ya...
UFAFANUZI WA HOJA TATA KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
MAKALA NO. 9
Katika mchakato wa kuitafuta katiba mpya, kumekuwepo na hoja ambazo zinaonesha kwamba kutokuwepo kwa mambo hayo katika katiba inayopendekezwa nisababu ya katiba kukosa ubora na kwamba hata baadhi ya hayo yaliyowekwa...
KATIBA PENDEKEZWA NIYA KIWANGO CHA JUU NA INAFAA KUPIGIWA KURA NA WANANCHI: misingi muhimu ya kikatiba imezingatiwa.
MAKALA NO. 8
Tunapozungumzia katiba nzuri tunatakiwa kufahamu kwamba lazima iwe imejengwa katika misingi mizuri ya kikatiba ( principles of good constitution). Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.