ITV kwanza siipendagi maana hawanaga habari za kimataifa. Wao hurusha local news na kuzungukia hapo Kenya, Uganda, Congo, Burundi, Rwanda na South Sudan yaani Afrika mashariki tu. Habari muhimu zinatokea mataifa mengine ya Afrika, Ulaya na Marekani hawana mpaka mtu inabidi uangalie TBC one...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.