Tanzania kama zilivyonchi zingine, imekuwa ikiwakilishwa na mabalozi nchi za nje. Wote tumeshuhudia mabalozi wakiteuliwa, vijana kwa wazee, waliopitisha umri wa kustaafu na walio na damu changa. Kwa kawaida, serekali ndiyo inayogharaia maisha ya wateule hawa huko ughaibuni wakipewa haki zao kama...